Snura Akana kumwagana na Minu
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Snura’ amekanusha kuwa hajaachana na mpenzi wake Minu Calypto kama ambavyo watu wengi walikuwa wakiamini hilo. Akizungumza na Risasi Vibes, Snura amesema kuwa anawashangaa watu kwa kujadili…
