RC Mwanza Aagiza Takukuru Kuchunguza Upotevu wa Milioni 15 Buchosa
MKUU wa Mkoa wa Mwanza Robert Gabliery ameagiza Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru) kuchunguza upotevu wa takribani kiasi cha shilingi milioni 15 ambazo ni fedha za Maendeleo kwenye Halmashauri ya Buchosa…
