Trump na Harris wakubali kukutana kwenye mdahalo Septemba
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris, mgombea urais wa Demokrat katika uchaguzi wa Novemba, na mpinzani wake wa chama cha Republikan, Rais wa zamani Donald Trump, Alhamisi walikubaliana kushiriki mdahalo wa televisheni hapo Septemba…
