Kesi Zuio la Uchaguzi TFF Yatupiliwa Mbali
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, jana Ijumaa ilitupilia mbali maombi ya kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) yaliyowasilishwa na aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais, Ally Saleh.
Mahakama hiyo ilitoa uamuzi wa…
