Ahukumiwa kwa Kesi ya Kumbaka Mtoto wa Miaka 10, Ambaye alikataliwa Kutoa Ujauzito
MWANAUME mmoja katika mji wa Ohio nchini Marekani amehukumiwa kwa kosa la ubakaji baada ya kumpatia ujauzito binti mwenye umri wa miaka 10 ambaye alikataliwa kutolewa ujauzito wake.
Gershon Fuentes (27) amepelekwa…