Wajawazito Watozwa Elfu 50 kwa Kujifungulia Nyumbani – Video
WANANCHI wa kijiji cha Mapanda wilayani Mufindi mkoani Iringa wamelalamikia kitendo cha kutozwa faini ya shilingi 50,000 katika Kituo cha Afya cha Mapanda kutokana na akina Mama kujifungua Nyumbani mara wanapopatwa na uchungu kwa madai…