The House of Favourite Newspapers

Taharuki! Maiti Yafukuliwa, Mwili Wakutwa Juu ya Kaburi

0

HALI ya taharuki imetokea katika kitongoji cha Kipondoda wilayani Manyoni mkoani Singida, baada ya mwili wa marehemu, Julia Amasi, mwenye umri wa miaka 93 kuzikwa hapo jana na asubuhi ya leo Septemba 5, 2021 kukuta kaburi likiwa limefukuliwa likiwa na jeneza pekee huku mwili ukiwa pembezoni mwa makaburi hayo.

Leave A Reply