The House of Favourite Newspapers

Taifa Stars Wawasili Tanzania Wakitokea Misri – Video

  Timu ya Taifa ya Tanzania, ‘Taifa Stars’ imewasaili leo Alhamisi Julai 4, 2019 mchana na kupokelewa na kundi kubwa la mashabiki waliokuwa wakiongozwa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, aliyeongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Stars imewasili nchini muda ikitokea nchini Misri ilipokuwa imekwenda kushirikishi michuano ya Kombe la Mataifa Afrika Afcon, ambapo imeondolewa katika hatua ya awali baada ya kufungwa katika michezo yote katika kundi lao C walilokuwa wamepangwa.

Katika mapokezi hayo yaliyoongozwa na Waziri Mwakyembe, yameonekana kupokea na Watanzania wengi Uwanjani hapo jambo lililoonekana kuleta hamasa na faraja kubwa kwa wachezaji wote waliowasili katika msafara huo.

 

TAZAMA TUKIO ZIMA HAPA

Comments are closed.