The House of Favourite Newspapers

Taifa Stars Yapangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023

0

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024 Nchini IvoryCoast na kushirikisha timu 24
Kundi A: Ivory Coast, Nigeria, Equatorial Guinea, Guinea-Bissau
Kundi B: Misri, Ghana, Cape Verde, Msumbiji
Kundi C: Senegal, Cameroon, Guinea, The Gambia
Kundi D: Algeria, Burkina Faso, Mauritania, Angola
Kundi E: Tunisia, Mali, Afrika Kusini, Namibia
Kundi F: Morocco, DR Congo, Zambia, Tanzania
Bingwa mtetezi katika michuano hiyo ni Senegal, wakati Misri itaingia uwanjani ikiwa ndio timu inaongoza kwa kulibeba mara nyingi taji hilo yaani mara 7, ikifuatiwa na Cameroon (5) kisha Ghana (4)

VURUGU NZITO ZAIBUKA KARIAKOO -WAFANYABIASHARA WAKIWASHA LAIVU SAKATA la MOTO – NGUMI ZAPIGWA KWEUPE

Leave A Reply