The House of Favourite Newspapers

Tammy Afungukia Kujiachia Nusu Utupu!

Tamara Ally ‘Tammy The Baddest.

Na ANDREW CARLOS| IJUMAA WIKIENDA| TOWN STORY

MSANII wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Tamara Ally ‘Tammy The Baddest’ ameweka wazi sababu zinazomfanya kujiachia nusu kwake ni kitu cha kawaida na hata mazingira ya nyumbani kwao na wazazi wake wamemzoea, hivyo haoni cha ajabu.

Tammy akiwa lokesheni.
Tamara Ally ‘Tammy The Baddest.

“Mchumba utupu mara kwa mara kuwa ni mazoea. Akizungumza na kona hii, Tamara anayebamba na Wimbo wa Mtoto wa Kike alisema, kukaa nusu utupu wangu mwenyewe ananichukulia poa kwani ni kawaida mwanamke kujiachia just life style tu, hata kwenye video yangu (Mtoto wa Kike) nimeonesha hadi nguo ya ndani mbona ni vitu vya kawaida tu jamani,” alisema Tammy.

Comments are closed.