The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Mdogo wa Lowassa Afariki Dunia

0

MDOGO wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne, Aprili 28, 2020, katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu. 

 

Mtoto wa Waziri Mkuu huyo Mstaafu Fred Lowassa amethibitisha kifo hicho na kusema; “Ni kweli ndugu yetu Bernard Lowassa amefariki yeye ni Baba yangu mdogo, na alikuwa amelazwa Aga Khan na hapa familia tunaenda hospitalini kwa ajili ya kukutana.”- Amesema

 

Kwa taarifa zaidi fuatilia mtandao wetu.

 

Leave A Reply