The House of Favourite Newspapers

TANZIA: MUIGIZAJI WA FUTUHI AFARIKI DUNIA

HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema mwigizaji maarufu wa Kundi la Vichekesho la FUTUHI maarufu kwajina la Karumekenge amefariki dunia jana Ijumaa, Oktoba 26, 2018 usiku wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Jijini Mwanza.

Taarifa kamili tutakuletea hivi punde, Endelea kufuatilia GlobalHabariUpdates.

Comments are closed.