The House of Favourite Newspapers

Tanzia: Waziri Kiongozi wa Kwanza Zanzibar Afariki Dunia

0

Waziri Kiongozi wa kwanza Zanzibar (1972-1984), Muasisi wa Mapinduzi na Muungano, Ramadhani Haji Faki (99), amefariki Dunia jijini Dar leo, wakati akitibiwa. Kwa mujibu Msemaji wa Serikali ya Zanzibar, mwili wa Faki utapelekwa Zanzibar kwa ajili ya taratibu za mazishi.

Inalillah waina ilaihi rajiun!

Leave A Reply