The House of Favourite Newspapers

TCB Yaandaa Chakula Cha Jioni Wiki ya Huduma Kwa Wateja

0
maofisa wa Tanzania Commercial Bank pamoja na wateja wa benki hiyo wakiwa katika hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja.
Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Commercial Bank ambaye ni Mkurugenzi wa Tehama Bw. Jema Msuya (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na maafisa wa benki hiyo wakati wa chakula jioni kilichoandaliwa na benki hiyo kwa ajili ya wateja wake ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja.

Kaimu Mkurugenzi  Mkuu wa Tanzania Commercial Bank ambaye ni Mkurugenzi wa Tehama Bw. Jema Msuya akizungumza wakati wa hafla ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja. Hafla hiyo ilifanyika katika tawi la Mlimani City jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo ilikuwa na kaulimbiu ya “TEAM SERVICE”, Mkurugenzi amesisitiza dhamira ya benki yake kuendelea kutoahuduma bora kwa wateja wake.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Commercial Bank ambaye ni Mkurugenzi wa Tehama Bw. Jema Msuya (katikati) akikata keki pamoja na wateja wa benki hiyo wakati wa maadhimisho ya wiki ya huduma kwa mteja katika tawi la Mlimani City jijini Da es Salaam. hivi karibuni ambapo ilikuwa na kaulimbiu ya “TEAM SERVICE”, Mkurugenzi amesisitiza dhamira ya benki yake kuendelea kutoahuduma bora kwa wateja wake.

 

Leave A Reply