TFF Tumepokea Malalamiko Ya Yanga Mkataba wa Morrison

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea malalamiko ya klabu ya Yanga kuhusu uhalali wa mkataba kati ya klabu ya Simba na mchezaji Berard Morrison.

Toa comment