The House of Favourite Newspapers

TFF Yatoa Tamko Kuhusishwa na Sakata la Rais wa CAF

0

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa ufafanuzi juu ya kuhusishwa kwa Rais wake, Wallace Karia, katika malipo yanayodaiwa kusababisha Shirikisho la Mpira wa Miguu (FIFA) kumfungia miaka mitano Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Ahmad Ahmad.

Leave A Reply