The House of Favourite Newspapers

TRA Yatoa Ufafanuzi Utozaji wa Kodi katika Biashara za Kielektroniki kwa Watoa Huduma wasio Wakaazi

0

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa ufafanuzi kuhusu utozaji wa kodi katika biashara za kielektroniki kwa watoa huduma wasio wakaazi.

Taarifa iliyotolewa na Idara ya Huduma kwa Mlipakodi na Mawasiliano, imesisitiza kuwa kodi itakayotozwa kwa matangazo yanayofanywa mitandaoni (Online Advertisement) kwenye vyombo vya habari mitandaoni na mitandao ya kijamii kama Facebook na Instagram, haitawahusu wateja binafsi wanaotumia akaunti binafsi za mitandao ya kijamii.

Leave A Reply