The House of Favourite Newspapers

Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza

1

GPL_Logo_FinalWEWB

Wapenzi wasomaji na wadau wa tovuti hii tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza katika kipindi ambacho hatukuwa hewani kutokana na matatizo ya kiufundi.
Aidha tunapenda kuchukua nafasi hii kuwaomba radhi watu binafsi na makampuni ambayo tunatangaza nayo na kuwaahidi kuwa kwa sasa tovuti ipo vizuri ikiwa imefanyiwa maboresho ambayo yatamuwezesha msomaji kupata habari katika kiwango cha juu.
Tunashukuru sana kwa uvumilivu wenu na endelea kupata habari motomoto za mastaa, burudani, kijamii na michezo kutoka www.globalpublishers.co.tz
Webmaster / GPL

1 Comment
  1. Mary mayanja says

    Bado mtandaoni unaonyesha mambo ya zamani

Leave A Reply