The House of Favourite Newspapers

TUSUA MAPENE NA VODACOM,YAKABIDHI ZAWADI KWA MSHINDI WAKE

0
Mshindi wa wiki wa shindano la TUSUA MAPENE NA VODACOM, Neema Laiser ( katikati) mfanyabiashara, mkazi wa mtaa wa Uswahilini Jijini Arusha,  akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 toka kwa  Meneja mkakati wa Masoko Vodacom kanda ya Kaskazini, Abednego Mhagama (kulia) na Meneja Mauzo mwandamizi wa Vodacom kanda hiyo, Nathanael Pedigando

 

Leave A Reply