Uchaguzi TFF: Oscar Oscar Achukua Fomu Ya Kugombea Urais -Video


Mwandishi wa habari na mchambuzi wa michezo nchini, Oscar Oscar, naye amejitosa katika mbio za kuwania Urais wa Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) ambapo leo Juni 09 amechukua fomu ya kuwania nafasi hiyo.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxTecno


Toa comment