Umeisikia Hii ya Pampu za Maji na Motor? Bofya Hapa Ushangae!

KWA MARA NYINGINE tena tunakusogezea vitu vikali vya bei chee, tunafahamu kuwa kuna watu wengi bado wanahangaika na shida ya maji na umeme mjini na vijijini, pengine ungependa kuweka miundombinu ya maji na umeme nyumbani kwako ili uondokane kabisa na adha hii, basi jibu limepatikana.

TAMBAZA AUCTION MART & GENERAL BROKERS LIMITED kwa idhini tuliyopewa na Simba Pipe Industries tutakuwa na mnada wa hadhara Jumamosi ya Agosti 7, 2021, kuanzia saa 4:00 asubuhi ofisi za Simba Pipe Line zilizopo Mbozi Road Keko, Dar es Salaam.

Mnada huo utahusisha vitu mbalimbali

• Motors za maji za majumbani
• Viungio mbalimbali vya mabomba
• Mabomba ya chuma
• Pampu za visima vya majumbani na visima vya vijijini
• Solar pannel
• Solar Control

Ukaguzi wa vitu hivyo utafanyika Julai 5 na 6, 2021 saa za kazi kuanzia saa 2:00 asubuhi mpaka saa 10:00 jioni.

MASHARITI YA MNADA
1. Mnunuzi atakayebahatika kununua mali hizo atalazimika kulipa papo hapo asilimia 25 ya bei itakatokuwa imefikiwa, na asilimia 75 nyingine atalipa ndani ya siku 14 kuanzia siku ya mnada na akishindwa kulipa mnada utarusidiwa na pesa aliyolipa awali haitarudiswha.
2. Mnunuzi atalazimika kuondoa mali aliyonunua mara baada ya kukamilisha kulipa malipo yote taslimu.
3. Gharama za kutoa mali alilonunua ni za mteja mwenyewe.
4. Vifaa hivi vitauzwa kama vilivyo na ukiharibu haitarudishwa
5. Kwa yeyote atakayeharibu mnada hatua kali za kisheria zitachukuliwa.

Kwa mawasiliano zaidi, fika katika ofisi zetu zilizopo Sinza Mori mkabala Kituo cha Mafuta cha Big Born Petrol au karibu na La Chaz Pub jijini Dar es Salaaam au piga simu namba 0713 327 989 au 0718 221 111 au 0753 300 048 0222701248 ama baruapepe info@auctionmart.co.tz
Nyote mnakaribiahwa!

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers)


Toa comment