The House of Favourite Newspapers

Ummy Amtaja Shigella Kuwa RC Bora, Awataka Wengine Wajitafakari

0


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amemtaja Martine Shigella, Mkuu wa Mkoa wa Tanga kuwa ndiye mkuu wa mkoa bora zaidi nchini kwani amekuwa akiwashirikisha viongozi wenzake na wananchi katika masuala mbalimbali ya maendeleo na kuwataka wakuu wengine wa mikoa kujitafakari na kuiga mfano wake.

 

Waziri Ummy amesema serikali haitaweza kumvumilia kiongozi yeyote wa wilaya au mkoa ambaye hatokuwa na uwezo wa kushirikisha na kushirikiana na wenzake.

Leave A Reply