The House of Favourite Newspapers

UNYAMA; MJAMZITO, WATATU Wauawa Kwa KUKATWA MAPANGA – Video

0

Watu wanne wa familia moja wakazi wa Mtaa wa Katandala Kata ya Msambara Halmashauri ya Mji wa Kasulu mkoani Kigoma, wameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga na watu wasiojulikana kisha kuharibu na kubomoa nyumba ya familia hiyo. Mkuu wa wilaya Amethibitisha.

 

Leave A Reply