The House of Favourite Newspapers

Global Habari Jan 05: Kalemani Aipa Kampuni Ya China Miezi 3 Kumaliza Mradi Wa Umeme

0


Waziri wa Nishati ,Dkt Medard Kaleman amemwagiza mkandarasi wa Kampuni ya CHINA CAMC ENGINEERING CO. LTD ya nchini China kuhakikisha inakamilisha mradi wa kupoza umeme unaojengwa kwenye mtaa wa Mpovu Kata ya Mtakuja wilayani na Mkoani Geita ifikapo mei mwaka huu na sio mwezi Juni kama ilivyokuwa hapo awali.

Leave A Reply