The House of Favourite Newspapers

Usikose Kutazama SpotiHausi Leo Alhamisi, Saa 10:00 Jioni -Global TV Online

0

 

#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni.

  • Wachambuzi wa michezo Saleh Jembe, Wilbert Molandi, Philip Nkini watakupa madini yote kuntu ya ki-sport mwanzo mwisho.
  1. Pointi 3 za Simba zilivyorudi zikaenda, Rufaa ya Kagera Sugar kadi za njano za Fakhi na figisu zote za sakata hilo.
  2. Mechi za Ligi ya Kombe la Shirikisho la Azam Azam (FA) zitakazopigwa wikendi hii. (Azam na Simba, Aprili 29 – Uwanja wa Taifa huku Yanga akiivaa Mbao FC, CCM Kirumba – Aprili 30).
  3. LaLiga ya Hispania (Kipigo cha Real Madrid kutoka kwa Barcelona.
  4. Kipigo cha 3-2 cha Bayern Munchen kutoka kwa Borusia Dortmund (FA ya Ujerumani).
  5. Leo tutakuwa na mgeni ambaye ni mlemavu wa macho lakini anaingia uwanjani kucheki soka, anashangilia kama wengine. Atatueleza ni mbinu anazotumia kutambua kwamba mchezaji kapiga chenga ama kafunga goli au kapigwa kichwa na mengine mengi.

Usikose leo SAA 10:00

Usikose leo Aprili 27 SUBSRIBE #YouTube #GlobalTVOnline

 

Leave A Reply