The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday Mh. Paul Makonda

0

MAKONDA1Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.

LEO ni siku muhimu sana kwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.Hivyo, uongozi na wafanyakazi wote wa Kampuni ya Global Publishers Ltd iliyopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, unamtakia heri ya kuzaliwa Mkuu wa Wilaya, Paul Makonda.

Tunatambua mchango wako ni mkubwa sana kwa Jimbo la Kinondoni na Tanzania kwa ujumla, hivyo tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.

 

Leave A Reply