The House of Favourite Newspapers

Usipitwe na Matukio… Tembelea Global TV Online, Tupo LIVE Kila Tukio

Unahisi unapitwa na matukio yanayoendelea kutokea kila siku kuhusu mastaa na hata mambo mbalimbali kuhusu nchi yetu?

Unahisi unapitwa na taarifa muhimu ambazo zinatakiwa zikufikie punde tena huku ukiangalia ‘LIVE’ yaani MUBASHARA katika simu yako au kompyuta?

Wala hujachelewa. Global Publisher imekuletea Televisheni katika Mtandao wa Youtube ambapo huko utakuwa ukiangalia matukio mbalimbali tena moja kwa moja. Hutopitwa kwa lolote lile kwa sababu ULIPO TUPO.

Unachotakiwa kufanya ni kwenda katika mtandao wa Youtube na ku-SUBSRIBE channel iitwayo Global TV Online na utakuwa ukipewa taarifa kila matukio yanayorushwa moja kwa moja na kuyatazama, pia utakuwa ukitazama somo la ujasiriamali kutoka kwangu (SHIGONGO) kila siku ya Ijumaa kuanzia saa kumi jioni. Unataka nini zaidi?

TUMEKULETEA KILICHO BORA KABISA.

Comments are closed.