The House of Favourite Newspapers

Utacheka! vituko vya Mpoki na TID, watu mbavu hawana

0

UTACHEKA! VITUKO vya MPOKI na TID, Watu MBAVU Hawana, Tazama HAPA UJIONEE…

MCHEKESHAJI Mpoki, amefanya party ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa usiku wa Kuamkia leo katika ukumbi wa Life Park Mwenge..

Mastaa kibao wamehudhuria party hiyo akiwemo, Mbongo fleva, TID…

Leave A Reply