Utashangaa! Dereva Bodaboda Mwenye Mguu Mmoja -Video
Kijana Frank Kutokea Jiji Arusha mwenye ulemavu wa mguu mmoja ameonyesha namna ambavyo anauwezo wa kutumia mguu wake mmoja kuendesha Pikipiki maarufu kama dereva bodaboda.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx