The House of Favourite Newspapers

Uwazi Latikisa Mji-Mwema Kigamboni na ‘Shinda Nyumba’

0

1

Charles Machage mkazi wa Mji-Mwema Kigamboni (kulia) akielekezwa na Ofisa Masoko wa Global, Yohana Mkanda, namna ya kujaza kuponi ili kushiriki bahati nasibu ya Shinda Nyumba.

2.

Msomaji wa Uwazi aitwaye Rehema Charles (kulia) akijaza kuponi.

3.

Daudi Paul (kulia) akijaza kuponi yake kushiriki bahati nasibu hiyo.

4.

Wasomaji wa Uwazi wakielekezwa na Mkanda ukurasa ulio na kuponi ya bahati nasibu ya Shinda Nyumba.

5.

Ereneus Ng’ombo mkazi wa Kigamboni Dar (kulia) akijaza kuponi kushiriki bahati nasibu hiyo.

6.Msomaji akijaza kuponi yake.

Msomaji akijaza kuponi.

7

Omary Ally akilisoma Uwazi kabla ya kujaza kuponi.

8.

Hussein Japhari mkazi wa Kibada Kigamboni Dar (kushoto) akielekezwa na Mkanda namna ya kujaza kuponi.

ZIKIWA zimebaki siku 15 kuchezeshwa droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba ambapo mshindi atajipatia nyumba,  jana promosheni ya shindano hilo inayoendelea ilitikisa vilivyo wakazi wa Mji-Mwema Kigamboni, Dar,  walipojitokeza kwenye gari la matangazo kuchangamkia gazeti la Uwazi na kushiriki kujaza kuponi za bahati nasibu.

Bahati nasibu hiyo inaendeshwa na Kampuni ya Global Publishers wachapishaji wa magazeti ya Championi, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa na Ijumaa Wikienda.

Maofisa masoko wa Global Publishers, Yohana Mkanda na Jimmy Haroub waliwafikia wasomaji katika mitaa mbalimbali ya maeneo ya Kigamboni na kuwahamasisha wasomaji kushiriki bahati nasibu hiyo.

Yohana Mkanda alisema: “ Siku zimebaki 15 wakazi wa Kigamboni changamkieni fursa hiyo na mshindi wa nyumba anaweza kuwa miongoni mwenu, hivyo nunueni magazeti ya Global mengi na mjaze kuponi ili kujiongezea nafasi ya kushinda.”

NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply