The House of Favourite Newspapers

Vanessa Mdee Atahadharishwa

0

Wadau mbalimbali waliopo kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram wamemtahadharisha staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee kuhusiana na mpenzi wake, Olurotimi Akinosho ‘Rotimi’ ambaye ni msanii wa filamu nchini Marekani.

 

Katika picha ambayo aliiweka Vanessa kwenye ukurasa wake kwenye mtandao huo akiwa na mpenzi wake huyo, wadau mbalimbali walimtahadharisha kuwa awe makini kwani Wanaija wanawajua.

 

“Weeee Vee weee, Rotimi tafadhali dada yetu, Wanaija tunawajua tabia zenu,” aliandika mmoja wa wadau hao.

Leave A Reply