The House of Favourite Newspapers

VERA SIDIKA KUMPELEKA MPENZ WAKE UKWENI

Related image
Vera Sidika na Mpenzi wake Otile Brown

BAADA ya kukinukisha katika mitandao na TV, muuza nyago ambaye pia ni mwanamitindo maarufu kutoka pande za Kenya, Vera Sidika yupo mbioni kumpeleka mchumba wake ambaye ni mwanamuziki, Otile Brown kijijini kwao.

Kwa mujibu wa Mtandao wa SDE, Vera ambaye yupo katika uhusiano wa kimapenzi na Otile kwa zaidi ya miezi sita, anafanya hivyo ili mpenzi wake huyo aweze kuwatambua ndugu pamoja na familia zake alikokulia huko Jimbo la Magharibi ya Kenya. Katika safari hiyo, wawili hao wataongozana na mtangazaji wa redio maarufu, Jalang’o.

NAIROBI, Kenya

Comments are closed.