The House of Favourite Newspapers

Video: Baba Wa Martha – “Kuhusu Mtoto Alinificha, Ila Nimemlea Vyema”


Ni Huzuni kubwa na simanzi imetanda kwa familia ya Mchekeshaji, Martha, aliyefariki dunia jana Septemba 11, kutokana na ugonjwa wa Malaria.

 

Global TV imefika msibani unapofanyikia msiba huo na kuzungumza na Baba mlezi wa Martha, ambaye amesimulia dakika za mwisho za mtoto wake huyo.

Comments are closed.