The House of Favourite Newspapers

Video: Corona Update, Ongezeko La Wagonjwa, Rais Atoa Tamko…Dunia Yazizima

0


Ni mjadala juu ya ongezeko la wagonjwa wa Corona ambapo hadi sasa Tanzania imeripoti visa 147, ambapo rais Dkt John Magufuli amewataka watanzania kufanya maombi kwaajili ya kuliombea Taifa na Dunia kwa ujumla.

Leave A Reply