VIDEO: “TANZANIA Ni NCHI Ya Pili KUPANDIKIZA FIGO Afrika” – WAZIRI UMMY


Tanzania inatarajia kupokea wageni kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC).

 

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Ally Mwalimu, amesema kwa kipindi chote hicho ambacho wageni hao watakuwepo nchini, watapatiwa matibabu ya uhakika katika Hospital ya Taifa Muhimbili, na JKCI, endapo watapata hitilafu yoyote kiafya.


Loading...

Toa comment