The House of Favourite Newspapers

Video: Global Habari Febr 27- Magufuli Amuapisha Balozi Bashiru

0

Rais John Magufuli leo Februari 27, 2021, amemwapisha Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu jijini Dar es salaam.

Akizungumza baada ya uapisho huo, Balozi Dkt. Bashiru amesema kwa siku ya leo hawezi kuzungumza mengi kutokana na mazingira ya uteuzi huo.

Leave A Reply