The House of Favourite Newspapers

VIDEO: IBADA YA KUMSIMIKA ASKOFU MKUU WA JIMBO KUU KATOLIKI LA MWANZA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa leo anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli katika Ibada ya Kumsimika Askofu mkuu wa Jimbo kuu katoliki la Mwanza Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande katika eneo la Kawekamo Jimbo kuu Katoliki la Mwanza

Comments are closed.