The House of Favourite Newspapers

Video: Inasikitisha; Watoto Hawa Walivyoingizwa Kwenye Matumizi ya ‘Unga’

Ni katika sakata la kupambana na madawana madawaya kulevya ambapo walijitokeza watoto hawa na kusimulia vile ambavyo wamekuwa wakishiriki katika matumizi ya madawa ya kulevya na changamoto walizo kumbana nazo pamoja na hali ya afya zao kwa sasa.

Watoto hawa ambao wanalelewa na kituo kimoja cha REHAB wamefunguka mbele ya RC Makonda na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kupambana na Dawa za Kulevya, namna ambavyo waliinguizwa kwenye matumizi hayo ilihali wakiwa watoto na kujikuta wanapoteza mwelekeo wa maisha… wasikie mwenyewe.

Comments are closed.