The House of Favourite Newspapers

Video: Jionee Maajabu Ya Barabara Za Juu Ubungo “Tunampa ‘Big Up’ Magufuli”

0


Mei 30, 2020, barabara za juu (Flyover) zinazojengwa katika makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma na Mandela (Ubungo Mataa) jijini Dar es Salaam zimeruhusiwa kuanza kutumika leo, ikiwa ni Barabara ya Morogoro kutoka na kwenda Kimara/Mbezi/Magomeni. Huku barabar za kuelekea Buguruni na Sam Nujoma, zikiwa katika hatua za mwisho mwisho….Global Tv imetembelea eneo hilo….

Leave A Reply