Video: Joyce Kiria Afichua Ndoa Yake Ya Kwanza Kuvunjika, Sababu Wanawake Wengi Kuachika… | Hard Talk
KWENYE HARD TALK na Mtumishi wa Mungu Lilian Mwasha amezungumza na Mwanaharakati Joyce Kiria ambaye ameeleza mengi ikiwemo sababu ya ndoa yake ya kwanza kuvunjika, huku akitoa ujumbe mzito kwa wanawake…. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx