The House of Favourite Newspapers

Video: JPM Ampa Makavu ‘LIVE’ Aaliyekuwa RC Moro “Hautoshi”

“Sasa ukizungumza Mkoa wa Morogoro unagundua RC Kebwe alishindwa kazi, ukipewa Mkoa halafu waliopo chini yako wanafanya mambo ya ajabu maana yake hautoshi, DC na DED wanagombana na haujawahi kusema chochote wala kukemea hautoshi”- JPM

”Kebwe nampenda lakini Uongozi umemshinda, Kama kuna Mkoa umenisumbua kuongoza ni Morogoro mambo yakikuwa hayaendi, Kuna wawekezaji wa tumbaku wanataka kukimbia na fedha zao, kila unapogusa hovyo, tukatengua Wakurugenzi mfano wa Malinyi tukadhani yataisha lakini wapi” – JPM

 

“Mkoa wa Morogoro tulitakiwa tuufanyie Demo tutengue kuanzia Mkuu wa Mkoa hadi Mtendaji wa Kijiji wote halafu tunaweka wapya, aliyekuwa RAS wa pale niliagiza astaafu mapema yeye kazi yake ni kuzungumza na walimu anawatoa Vijijini anawaleta Mjini wale anaozungumza nao vizuri”- JPM

 

Comments are closed.