The House of Favourite Newspapers

Video: Kauli ya Halima Mdee Baada ya Kutimuliwa Rasmi Chadema – “Mbowe Anajua ni Uhuni”

0

Mbunge Halima Mdee kwa niaba ya wenzake 18 ameelezea kutokubaliana na uamuzi wa Baraza Kuu la CHADEMA chini ya Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe wa kutupilia mbali rufaa zao za kupinga kufukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya Chama hicho akisema kilichofanyika ni uhuni.

 

“Nakwepa kuzungumza maneno makali kwasababu naheshimu Viongozi wangu lakini sikujua CHADEMA umeanza kufanyika uhuni kwa kiwango hicho, Mimi ni CHADEMA naendelea kuwa CHADEMA lakini kilichofanyika pale uhuni wa kiwango cha hatari, nitaongea siku nyingine lakini kilichofanyika pale hata Mbowe anajua ni uhuni” amesema Halima Mdee.

Leave A Reply