The House of Favourite Newspapers

Video: Kesi Ya Kanumba Na Lulu Yaibuka Bungeni – ”Angekuwa Hai Angehukumiwa Kwa Kubaka”…

0

Mbunge wa Viti Maalum (UVCCM), Munira Mustapha Khatib, ameliibua sakata la waigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na marehemu Steven Kanumba bungeni na kueleza kwamba kuna umuhimu wa kurekebisha adhabu wanazopewa watoto na mahakama.

Munira amesema mtoto mwenye umri mdogo, hata kama kweli ametenda kosa, anapohukumiwa kifungo kirefu gerezani, inakuwa ni sawa na kumharibia maisha yake.

Hata hivyo, Spika Tulia Ackson, amemtaka mbunge huyo kutoa uthibitisho kama Lulu alihukumiwa na mahakama na kama hana, basi aondoe hoja yake na kusababisha mbunge huyo kuondoa hoja za kuwataja wasanii hao.

 

Leave A Reply