The House of Favourite Newspapers

Video: Kijana Aishi Miaka 12 na Uvimbe Usoni, Ndugu Wamemtenga

0


Athumani Omari (28) amejikuta katika matatizo mazito baada ya kupata uvimbe usoni hali iliyopelekea kupoteza muonekano halisi wa sura yake huku akipitia maumivu makali kutokana na uvimbe huo ambao mpaka sasa una miaka 12, akiwa hajui unatokana nini, na ameshindwa kwenda hospiitali kuchunguzwa kutokana na ukosefu wa pesa.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply