The House of Favourite Newspapers

VIDEO: LUKUVI Amrejeshea Kiwanja BRIGEDIA Aliyedhulumiwa

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Makazi, William Lukuvi, leo Agosti 03, 2019,  amemrejeshea kiwanja Brigedia Mstaafu, Fransis Mbenna, alichokuwa amedhurumiwa kwa takribani miaka 20.

Maamuzi halo ameyatoa mapema leo alipotembelea eneo la kiwanja hicho kilichopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam baada ya kujiridhisha katika nyaraka mbalimbali za nani mmiliki halali wa eneo hilo.

Pia amewataka wanasheria kutowadanganya wateja wao kwa kuwaandalia taarifa za uongo huku wakijua ukweli wa jambo husika.

Kwa habari zaidi fungua video hapo juu.

Comments are closed.