The House of Favourite Newspapers

Video: Mama Afichua Ukweli Wa Mwanaye Aliyejitupa Baharini – ”Ameacha Mke – Aliniambia Anajisikia Vibaya”

0

MAMA wa Marehemu Mahmoud Mwalim aliyejirusha baharini kutoka kwenye boti akitokea Pemba kwenda Unguja amesema ingekua vigumu sana kwa mtu yeyote asiyemfahamu kugundua kwamba Kijana wake huyo alikua akisumbuliwa na tatizo la akili.

Leave A Reply