VIDEO: Mkude, Kagere Kusaini Mkataba Mpya Simba | Spoti Hausi


Katika kipindi cha ‘SPOTI HAUSI’ leo Juni 10, mchambuzi wa soka, Philip Nkini, amechambua kuhusiana na sakata la mchezaji wa Simba, Jonas Mkude, kupelekwa Muhimbili kufanyiwa vipimo, pamoja na tetesi za usajili.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxTecno


Toa comment