The House of Favourite Newspapers

VIDEO MPYA: THE MAFIKI – BOBO

The Mafik ni kundi linaloundwa na vijana watatu  ambao ni Rhino, Hamadai na Mbalamwezi. kwa mara ya kwanza walipata nafasi ya kusikika 2/3/2018 kwenye utambulisho wa kundi na ilipofika  2/3/2018 The mafik
waliachia video yao ya Passenger kwa mara ya kwanza ktk mtandao wa Youtube ambayo ilipata mapokeo mazuri leo kupitia +255 global radio wametambulisha video ya wimbo wao mpya ‘Bobo’ iliyoongozwa na Kwetu Studio. Audio imetayarishwa na Producer John Blaze.

Itazame video ya wimbo hapa chini.

Comments are closed.