VIDEO MPYA : TANASHA DONNA – NAH EASY

MTANGAZAJI na Mwanamuziki Kutoka Kenya mrembo Tanasha Donna baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Radio’ akimshirikisha Rapa kutoka kenya Braka Jacuzzi, sasa ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulika kwa jina ‘NAH EASY’ iliyotengenezwa na producer S2kizzy na video imeongozwa na muongozaji Ivan Odie ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC

Loading...

Toa comment