The House of Favourite Newspapers

Video Mpya ya Harmonize – Ushamba – Itazame Hapa

0

MSANII maarufu wa Bongo Fleva kutoka lebo ya Konde Gang World Wide, Rajabu Abdul Kahali a.k.a Harmonize, Konde Boy, Jeshi, Tembo, ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la USHAMBA.

 

Video hiyo ambayo ameiachia jana Jumapili, Novemba 8, 2020, jioni imetengenezwa na Director Hanscana na kwa sasa inatembea YouTube ikiwa na zaidi ya watazamaji 240,000 mpaka sasa.

 

Karibu kuutazama wimbo huo.

Leave A Reply